Author : Sayyed A. A. Razwy
Publisher : Createspace Independent Publishing Platform
ISBN 13 : 9781519259530
Total Pages : 118 pages
Book Rating : 4.2/5 (595 download)
Book Synopsis Khadija-Tul-Kubra by : Sayyed A. A. Razwy
Download or read book Khadija-Tul-Kubra written by Sayyed A. A. Razwy and published by Createspace Independent Publishing Platform. This book was released on 2015-11-12 with total page 118 pages. Available in PDF, EPUB and Kindle. Book excerpt: Maisha ya Khadija yamejaa utajiri wa mwongozo wa kimungu. Sifa yake kubwa katika maisha yake ya kiutakatifu, ilikuwa ni imani yake isiyo na kifani katika Uislamu. Imani yake ilikuwa kama jabali katika bahari iliyochafuka. Imani za watu wachache kamwe hazikuwekwa katika mtihani mkali kama ile imani ya Khadija. Imani yake ilijaribiwa kwa njaa, kiu, uhamisho na hatari kubwa katika maisha yake na kwa wapendwa wake. Kusema kweli, wakati wa kwanza wa mika kumi ya Uislamu, maisha yake yalikuwa ya mfululizo wa mitihani isiyo na mwisho. Khadija alifuzu katika mitihani yote. Ufunguo kwenye mafanikio yake ilikuwa ni upendo wake kwa Mungu, mapenzi kwa mume wake na kuji-tuma kwake ili kuufanya Uislamu ufanikiwe. Khadija aliweka mfano ambao wanawake katika Uislamu wanaweza kuuiga mpka mwisho wa dunia. Wanawake wanweza kuona katika maisha yake vipi mu'mun wa kweli anavyoweza kufanya tabia ya maisha yake kuwa bora sana na ya utukufu.This book is one of the many Islamic publications distributed by Ahlulbayt Organization throughout the world in different languages with the aim of conveying the message of Islam to the people of the world. Ahlulbayt Organization (www.shia.es) is a registered Organization that operates and is sustained through collaborative efforts of volunteers in many countries around the world, and it welcomes your involvement and support. Its objectives are numerous, yet its main goal is to spread the truth about the Islamic faith in general and the Shia School of Thought in particular due to the latter being misrepresented, misunderstood and its tenets often assaulted by many ignorant folks, Muslims and non-Muslims. Organization's purpose is to facilitate the dissemination of knowledge through a global medium, the Internet, to locations where such resources are not commonly or easily accessible or are resented, resisted and fought! In addition, For a complete list of our published books please refer to our website (www.shia.es) or send us an email to [email protected]"